Isaiah 11:3-5

3 anaye atafurahia kumcha Bwana.

Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake,
wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,
4 bbali kwa uadilifu atahukumu wahitaji,
kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia.
Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake,
kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu.
5 cHaki itakuwa mkanda wake
na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake.
Copyright information for SwhNEN